Tunawatangazia semina ya vijana na watoto parokiani yenye maudhui; Vijana na Ukristo. Itakayofanyika parokiani kongowea jumamosi tarehe 29 Novemba
Tumsifu Yesu Kristu, ili kufanikisha semina ya watoto na vijana wetu tarehe 29/11/2025, wazazi tunaomba tuwasaidie na shilingi 50 walipe ofisini kwa sista kwa ajili ya lunch mwisho ni tarehe 27/11/2025.Asanteni kwa ushirikiano.
9am-12pm first session
12:30-130pm lunch break
1:30-3:30pm 2nd session
4pm mass


